SERIKALI KUTUMIA UMWAGILIAJI KUZALISHA MBEGU BORA Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Songwe Serikali imeeleza kuwa imekusudia kuhakikisha kuwa mbegu bora za kilimo zinazalishwa nchini ili kuondokana na wimbi la uagizaji wa mbegu nje ya nchi.…
HAKUNA UTHIBITISHO WA UWEPO NZIGE WA JANGWANI NCHINI-WAZIRI HASUNGA- Dodoma. Serikali imewatoa hofu wakulima nchini kuwa hakuna taarifa za uthibitisho wa uwepo wadudu hatari aina ya Nzige wa Jangwani walioripotiwa katika nchi za jirani. Waziri…
Market research ( Horticultural crops) Place: Kilombero Market (Karatu) Date: 23-24/01/2020. TANSHEP has continued to make sure that farmers have a strong understanding of market demand based on the slogan "anzia sokoni malizia shambani kwa…
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Songwe Serikali imeeleza kuwa imekusudia kuhakikisha kuwa mbegu bora za kilimo zinazalishwa nchini ili kuondokana na wimbi la uagizaji wa mbegu nje ya nchi. Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo…
MKUTANO WA KUBADILISHANA UZOEFU WA MRADI WA TANSHEP UNAOTEKELEZWA MIKOA YA KILIMANJARO, ARUSHA NA TANGA ENEO; KILIMAJARO RAS OFFICE HALL (MOSHI) TAREHE; 19-20 DECEMBER, 2019 Mkutano uliwakutanisha wakulima (vikundi vya wakulima) wa mazao…
Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) Waziri wa kilimo, ameitaja Programu ya kuendeleza sekta ya kilimo awamu ya pili (Agricultural sector Development Programme ASDP II) kwamba italeta mageuzi makubwa katika sekta hiyo zikiwemo sekta zingine…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 04 Juni, 2018 amezindua Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (Agricultural Sector Development Programme, Phase Two – ASDP II). Mpango huo wa…
While Tanzania’s overall economic growth trajectory has been in line with its national poverty reduction strategy (termed Mkukuta), the agricultural sector has not proved so dynamic in the past 10-15 years with sector annual growth around…